King Class Mawe ajiandaa kumkabili Amosi Mwamakula Mei Mosi.

Bondia Ibrahimu Class ‘King Class Mawe’  kulia akioneshana uwezo wa kutupiana makonde na Ally Masaga wakati wa mazoezi yaliyofanyika katika kambi ya Ilala Amana CCM Dar es salaam Class akijiandaa na mpambano wake wa Mei Mosi dhidi ya Amos Mwamakula utakaopigwa katika ukumbi wa PTA Saba saba. 

Bondia Ibrahimu Class ‘King Class Mawe’  (kulia) akioneshana uwezo wa kutupiana makonde na Kasimu Gamboo wakati wa mazoezi yaliyofanyika katika kambi ya Ilala Amana CCM Dar es salaam Class akijiandaa na mpambano wake wa Mei Mosi na Amos Mwamakula utakaopigwa katika ukumbi wa PTA Saba saba  Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: