TCRA YAIJIA JUU CLOUDS JUU YA KIPINDI CHA POWER BREAKFAST

Mamlaka ya mawasiliano tanzania TCRA imetoa onyo kali kwa vituo vitatu vya utangazaji ikiwemo radio clouds kwa kurusha matangazo yao kwa kukiuka kanuni za utangazaji tanzania

akizungumza na mkurugenzi wa nidhamu wa mamlaka hiyo amesema kuwa kituo cha clouds kilirusha matangazo katika kipindi chake cha POWER BREKFAST kinachoongozwa na JERALD HANDO   na kushabikia maswala ya ushoga jambo ambalo ni kinyume cha seria mamlaka hiyo imekifuta kipengele cha JICHO LA NGOMBE katika kipindi hicho.

radio nyingine zilizopewa onyo  KWA NEEMA RADIO NA IMANI RADIO kwa makosa ya kuchochea chuki za kidini katika vipindi vyao

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: