Lema, Mnyika kuelekea Mtwara – kupiga M4C kwa siku TANO

Mbunge wa Arusha mjini mh godbless lema na mbunge wa ubungo Mnyika inasemekana wiki hii wataelekea mtwara kufanya mikutano kwa siku TANO.
Ziara hiyo imekuja baada ya kumalizika kwa retreat ya wabunge wa chadema na kamati kuu na kuazimia kufanya ziara ya kikazi na kichama na kuazimia kwenda kuzungumza na wana mtwara.
Mnyika atazungumza na wana mtwara kuhusu sera ya majimbo ya chadema na suluhisho la mgogoro wa suala la gesi ambalo kimsingi ndio limechukua sura kubwa kitaifa hivi sasa.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: