BAADA YA TP MAZEMBE KUMBANIA SAMATA KUJA BONGO MAAMUZI YA KIM POLSEN HAYA HAPA

KIM kuwafuata SAMATTA na ULIMWENGU CONGO
   

  Kocha wa timu ya taifa ya Tanzania TAIFA STARS, KIM POULSEN anakwenda wiki ijayo nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC kwa ajili ya kufanya mazungumzo
ya maelewano na klabu ya TP MAZEMBE ya njisi ya kuwatumia washambuliaji wawili wa kimataifa wa Tanzania MBWANA SAMATTA na THOMAS ULIMWENGU.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini DSM hii leo katibu mkuu wa shirikisho la soka nchini TFF ANGETILE OSIAH amesema TFF imeamua kufanya hivyo kabla ya kuichukulia hatua za kisheria klabu ya TP MAZEMBE ambayo iliwazuia SAMATTA na ULIMWENGU kuitumikia TAIFA STARS katika mchezo wa kufunzu kwa fainali za kombe la mataifa ya AFRIKA dhidi ya MSUMBUJI .
STARS inakabiliwa na kibarua kigumu cha michezo ya kufunzu kwa fainali za kombe la dunia kwa kuikaribisha MOROCCO machi 22,na kisha itaivaa IVORY COAST juni 14 jijini DSM,kabla ya kurudiana na morocco JULY saba na kumaliza na GAMBIA ugenini SEMBA 6 mwakani.
Msimamo wa kuindi la C la kufunzu kwa fainali za kombe la dunia zitakazofanyika nchini Brazil mwaka 2014 unaonyesha IVORY COAST inaongoza ikiwa na POINTI 4, Tanzania inashika nafasi ya pili ikiwa na pointi 3,Morocco ni ya tatu ikiwa na pointi 2 na Gambia inaburuza mkia ikiwa na pointi

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: