YALIYOJIRI LEO MJINI

Rais Yoweri Museveni wa Uganda akimkaribisha,
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Dkt. Mohammed Gharib Bilal
kwenye sherehe za maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Uganda zilizofanyika jana
kwenye Uwanja wa Kololo jijini Kampala, Uganda

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mohammed Gaharib Bilal (kulia) akibadilishana mawazo na Rais Yoweri Museveni wa Uganda wakati wa kilele cha maadhimisho ya Miaka 50 yaUhuru wa Uganda. Sherehe hizo zimefanyika jana katika Uwanja wa Kololo jijini Kampala. Wanaoonekana nyuma yao ni wake zao, Bibi Janneth Museveni (kulia) na Mama Zakia Bilal

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: