yanga yatamba kuiua toto

Baada ya kuboronga mechi zake za awali timu ya yanga leo inajirusha uwanjani kusaka point 3 muhimu katika ligi kuu tanzania bara huko mwaanza katika uwanja wa ccm kirumba watakapokuwa wageni wa wadogo a=zake toto africa ya mwanza.

    akizungumza na waandishi wa habari jana jijini mwanza kocha mkuu wa timu hiyo brandits ametamba kuibuka na ushindi leo katika mchezo huo huku akizidi kutoa lawama zake kwa viwanja kuwa vibovu na hivyo kusema ndio sababu ya timu yake kusuasua.

      nao viongozi wakuu wa timu hiyo wakiongozwa na mwenyekiti wake manji wameelekea katika mchezo huo ikiwa ni kutoa morali kwa timu hiyo ili ipate ushindi leo

  Nao mashabiki wa timu hiyo waliozungumza na mwandishi wetu akiwemo MARTIN LUANDA wametamba kuwa timu yao ndo inaanza ligi lei huko mwanza

 Yanga inateremkaa dimbani bila mshambuliaji wao machachari saidi bahanuzi aliyechanika nyama za paja

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: