RAISI TISJOSO AWASALITI WASHIRIKA WAKE

Hatimaye raisi wa chuo cha uandishi wa habari TSJ Frida Matinya amefanya maamuzi ambayo hayakutarajiwa na wengi na kuwaacha watu wakishangaa baadaya  kufanya marekebisho ya baraza la mawaziri na kuliunda upya huku akiwaacha baadhi ya washirika wake waliokuwa naye bega kwa bega katika uchaguzi.

           baadhi ya majina makubwa yaliyotemwa ni aliyekuwa naibu waziri wa katiba na sheria Thomas Mlowe ambaye ametemwa katika baraza hilo,mwingine aliyepigwa chini ni aliyekuwa mgombea wa umakamu wa uraisi bw kidumu

    katika baraza hilo frida amemrudisha kundini Frenki mawenya [wenyoooo]katika nafasi yake ya uwaziri wa michezo aliyoipoteza mwaka jana.sababu za kutimiliwa kwa mawaziri hao haijajulikana lakini habari za uchunguzi zinadai ni kushindw kuwatumikia wananchi ipasavyo

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: